Mshambuliaji wa Lyon ya Ufaransa, Bertrand Traore akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la pili timu yake ikiwalaza wenyeji Everton 2-1 katika mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park. Nabil Fekir alianza kuwafungia Lyon kwa penalti dakika ya sita baada ya Mason Holgate kumchezea rafu Fernando Marcal kabla ya Ashley Williams kuisawazishia Everton dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trump Wants Controversial FIFA President Gianni Infantino to Lead the
United Nations, Report Claims
-
Trump reportedly believes Infantino “is respected by everyone around the
world” and could bring the world together at the helm of the U.N.
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment