Kelechi Iheanacho akishangilia baada ya kutokea benchi kuchukua nafasi ya Sergio Aguero usiku wa jana na kuifungia Manchester City bao la tano dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Huddersfield kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la FA usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya City yalifungwa na Leroy Sane dakika ya 30, Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 35 na dakika ya 73 na Pablo Zabaleta dakika ya 38, wakati la Huddersfield lilifungwa na Harry Bunn dakika ya saba na City sasa itakutana na Middlesbrough kwenye Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Belgian Pocognoli confirmed as Scotland boss
-
The Scottish FA say they have appointed "one of Europe's brightest emerging
coaching talents" by securing Sebastien Pocognoli as Scotland men's new
head co...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment