Mashabiki wa Yanga wakiongozwa na Mwajeck Mtata (kushoto) walikuwepo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumapili kuisapoti Azam ikishinda 1-0 dhidi ya Mbabane Swallows ya Swaziland katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Kombe la Shirikisho Afrika
0 comments:
Post a Comment