Paulo Dybala akishangilia baada ya kuifungia Juventus mabao mawili dakika za 47 na 69 yote kwa penalti katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Napoli usiku wa jana Uwanja wa Juventus mjini Torino katika Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Italia. Bao lingine la Juve lilifungwa na Gonzalo Higuain dakika ya 64, wakati la Napoli lilifungwa na Jose Callejon dakika ya 36 na sasa Kibibi Kizee cha Turin kinahitaji sare mchezo wa marudiano ili kutinga Nusu Fainali ya Coppa Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Darwin Nunez appears to aim DIG at Liverpool in now-deleted tweet amid
speculation over his future
-
The striker has made just eight starts in the Premier League in 2024-25 and
has logged 1000 minutes across 25 league games - an average of 40 minutes
per a...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment