Wachezaji wa Bayern Munich kutoka kulia Robert Lewandowski, Thiago na Arjen Robben wakishangilia baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Schalke kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena. Mabao ya Bayern yalifungwa na Lewandowski mawili dakika za tatu na 29 na Thiago Alcantara dakika ya 16. Bayern watakuwa wageni wa Arsenal Machi 7 Uwanja wa Emirates, London katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kushinda 5-1 mchezo wa kwanza nyumbani, Munich PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Osun: Donald Duke congratulates Adeleke, voters, INEC
-
Says poll a litmus test for 2027, urges opposition to unite against APC
Former Governor of Cross River State and presidential candidate of the
Peoples ...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment