• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 01, 2016

  YANGA NA NDANDA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1
  Winga wa Yanga, Godfrey Mwashiuya (kulia) akimgeuza beki wa Ndanda FC jana Uwanja wa Taifa
  Mshambuliaji wa Yanga, Paul Nonga akimtoka beki wa Ndanda jana Taifa
  Nahodha wa Ndanda, Kiggi Makassy (katikati) akimuwekea mkono beki wa Yanga, Mwinyi Mngwali asiuwahi mpira
  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akipitisha mpira katikati ya wachezaji wa Ndanda jana
  Winga wa Yanga, Simon Msuba akimtoka beki wa Ndanda, Salvaatory Ntebe jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA NDANDA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top