• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 01, 2016

  AL AHLY YAJITOA, YANGA WAPETA AFRIKA

  TIMU ya Al Ahly ya Sudan haitakuja Mwanza kumenyana na Yanga katika Kombe la Shrikisho la Soka Afrika (CAF), baada ya kuandika barua FIFA ikisema inakabiliwa na hali mbaya kiuchumi.
  Maana yake Yanga wanasonga mbele bila jasho baada ya wapinzani wao hao kujitoa na sasa watamenyana na mshindi kati ya Azam FC ya Msumbiji na USM Alger ya Afrika Kusini.
  (wajinga ndiyo waliwao, tusherehekee siku ya wajinga duniani, April Fouls!!)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AL AHLY YAJITOA, YANGA WAPETA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top