Shabiki wa Borussia Dortmund akiwa ameshika bango lililoandikwa 'All you need is Klopp, all we need is the cup' yaani 'Unachohitaji ni Klopp, tunachohitaji ni Kombe' wakati wa mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Liverpool inayofundishwa na kocha wao wa zamani, Jugern Klopp. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1 Uwanja wa Signal Iduna Park, Dortmund na wiki ijayo zitarudiana Uwanja wa Anfield, Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment