Wachezaji wa Yanga wakiwa wamedondokea nyavuni katika harakati za kuokoa mpira wa Amr Galam (kushoto) ulioipatia bao la kuongoza Al Ahly ya Misri katika sare ya 1-1 juzi kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment