![]() |
| Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Gerezani FC |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam Veterans, Salim Aziz 'Ryad Mahrez' (kulia) akiwatoka mabeki wa Gerezani FC |
![]() |
| Winga wa Azam Veterans, Philipo Alando 'Pipo' akimlamba chenga ya hatari mchezaji wa Gerezani FC (kulia) |
![]() |
| Kiungo wa Azam Veterans, Amir Rashid 'Kikwa' akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Gerezani FC |
![]() |
| Kikosi kamili cha Azam Veterans kabla ya mchezo huo uliochezwa sambamba na mvua |








.png)
0 comments:
Post a Comment