![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar jana manungu |
![]() |
| Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' kulia akipiga hesabu kumtoka mchezaji wa Mtibwa |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mtibwa, Shiza Kichuya kwenye vidimbwi vya maji Uwanja wa Manungu jana |
![]() |
| Kipre Herman Tchetche akiwa chini mbele ya mchezaji wa Mtibwa Sugar jana |
![]() |
| Kiungo wa Azam, Frank Domayo akimiliki mpira pembeni ya mchezaji wa Mtibwa Sugar |








.png)
0 comments:
Post a Comment