Francis Coquelin wa Arsenal akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Yohan Cabaye wa Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, huku Mile Jedinak akishuhudia. Timu hizo zimetoka sare ya kufungana 1-1, bao la Arsenal likifungwa na Alexis Sanchez dakika ya 45 kabla ya Yannick Bolasie kuwasawazishia wageni dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cape Verde remain unbeaten at the World Cup as improbable draw with Uruguay
raises hopes of knockout qualification
-
Against all the odds, World Cup debutants Cape Verde have a very real
chance of qualifying for the knockout stages after coming from behind to
steal a valu...
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment