Mshambuliaji Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 41 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Daniel Sturridge wakati la Bournemouth limefungwa na Joshua King PICHA ZAIDI GONGA JAPA
Shirt-slay it right
-
By Islamiyat Kareem When building your wardrobe, it is important to know
you don’t need a large collection of clothes. Instead, start with pieces
that ca...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment