Mshambuliaji wa West Ham, Andy Carroll (kushoto) akiutelezea mpira miguuni mwa beki wa Arsenal, Laurent Koscielny katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Boleyn Ground, London. Timu hizo zimetoka sare ya 3-3, mabao yote ya West Ham yamefungwa na Andy Carroll, wakati ya Arsenal yamefungwa na Mesut Ozil, Alexis Sanchez na Koscielny PICHA ZAIDI GONGA HAPA
By-elections: Full list of winners in Enugu, Rivers, Ondo, Kano
-
The Independent National Electoral Commission has announced the outcomes of
by-elections held on Saturday in several federal and state constituencies,
wi...
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment