![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akimuacha chini mchezaji wa Mtibwa Sugar |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akimiliki mpira mbele ya beki wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde. Kulia ni beki mwingine wa Mtibwa, Issa Rashid 'Baba Ubaya' |
![]() |
| Beki wa Yanga SC, Juma Abdul (kushoto) akiruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya Muzamil Yassin wa Mtibwa Sugar |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Paul Nonga akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Mtibwa Sugar, Dickson Daud (kulia) na Issa Rashid (kushoto) |
![]() |
| Mfungaji wa bao la ushindi la Yanga SC, Malimi Busungu (kushoto) akimtoka Issa Rashid wa Mtibwa |








.png)
0 comments:
Post a Comment