• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 28, 2016

  BARCELONA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME

  Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou na kutinga Nusu Fainali. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez na Gerard Pique wakati la Bilbao limefungwa na  Inaki Williams PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top