• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 22, 2016

  YANGA SC ILIVYOWAPA ADHABU 'SAIZI YAO' MAJIMAJI JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe (kulia) akifumua shuti kufunga mbele ya mabeki wa Majimaji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 5-0
  Amissi Tambwe akimiliki mpira mbele ya beki wa Majimaji jana katika mchezo ambao alifunga mabao matatu
  Amissi Tambwe akiwatoka mabeki wa Majimaji katika mchezo ambao mabao yote alifunga kipindi cha pili
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma ambaye alifunga bao moja jana akimtoka beki wa Majimaji, Lulanga Mapunda
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Majimaji jana Uwanja wa Taifa
  Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akiwatoka wachezaji wa Majimaji katika mchezo ambao naye alifunga bao moja

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOWAPA ADHABU 'SAIZI YAO' MAJIMAJI JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top