• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 28, 2016

  SAFARI NJEMA MBWANA ALLY SAMATTA, KILA LA HERI KATIKA MAISHA MAPYA UBELGIJI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa ndani ya ndege ya KLM usiku wa jana kwa safari ya Ubelgiji kwenda kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ligi Kuu ya nchini humo baada ya kuruhusiwa na klabu ya TP Mazembe ya DRC aliyoichezea tangu mwaka 2011 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAFARI NJEMA MBWANA ALLY SAMATTA, KILA LA HERI KATIKA MAISHA MAPYA UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top