• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 31, 2016

  OSCAR APIGA HAT TRICK CHELSEA IKIUA 5-1 KOMBE LA FA, KONE NAYE MOTO EVERTON

  Mshambuliaji Diego Costa akimkabidhi mpira Oscar dos Santos Emboaba Junior baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-1 dhidi ya MK Dons Uwanja wa MK usiku wa leo katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Eden Hazard na Bernard Traore, wakati la wenyeji limefungwa na Darren Potter  PICHA ZADI GONGA HAPA

  Arouna Kone (katikati) akishangilia na mchezaji mwenzake wa Everton Uwanja wa Brunton Park baadfa ya kufunga bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Carlisle United kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England. Mabao mengine ya Everton yamefungwa na Aaron Lennon na Ross Barkley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OSCAR APIGA HAT TRICK CHELSEA IKIUA 5-1 KOMBE LA FA, KONE NAYE MOTO EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top