• HABARI MPYA

        Friday, January 08, 2016

        AZAM FC, MAFUNZO WALIVYOIPA 'MKONO WA KWAHERI' MICHUANO YA MAPINDUZI 2016

        Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akiwatoka wachezaji wa Mafunzo katika mchezo wa Kundi B jana jioni Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mafuno ilishinda 2-1, lakini zote zimeaga michuano hiyo huku Yanga SC na Mtibwa Sugar zikitinga Nusu Fainali
        Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akipiga mpira mbele ya beki wa Mafunzo, Samih Haji Nuhu
        Mshambuliajia wa Azam FC, Allan Wanga (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa Mafunzo
        Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipambana na beki wa Mafunzo, Juma Othman
        Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akimuacha chini beki wa Mafunzo jana Uwanja wa Amaan
        Winga Farid Mussa wa Azam FC, akiwageuza mabeki wa Mafunzo
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM FC, MAFUNZO WALIVYOIPA 'MKONO WA KWAHERI' MICHUANO YA MAPINDUZI 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry