IDDI MOSHI 'MNYAMWEZI'' ENZI ZAKE MABEKI WALIPATA TABU!
Mshambuliaji wa Yanga SC, Iddi Moshi 'Mnyamwezi' akimiliki mpira mbele ya beki wa Mtibwa Sugar, John Mabula katika mechi ya Kombe la Tusker mwaka 2000 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment