• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 21, 2016

  BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI BILA MESSI, SUAREZ KOMBE LA MFALME

  Kiungo wa Barcelona, Sergio Busquets akipasua katikati ya wachezaji wa Athletic Bilbao katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe Mfalme. Barcelona iliyocheza bila washambuliaji wake wawili nyota Lionel Messi na Luis Suarez imeshinda 2-1 Uwanja wa San Mames Barris, mabao ya Neymar na Munir El Haddadi, wakati bao la wenyeji limefungwa na Aduriz Zubeldia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI BILA MESSI, SUAREZ KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top