• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 25, 2016

  YANGA SC NA FRIENDS RANGERS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akiruka daluga la beki wa Friends Rangers jana katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kamam Azam Sports HD Federation Cup jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 3-0 na kutinga hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo ambayo itatoa mwakilishi wa nchi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (CAF) mwakani
  Haruna Niyonzima (kushoto) akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Friends Rangers
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Matheo Anthony mbele ya mabeki wa Friends Rangers
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Paul Nonga akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Friends Rangers
  Kiungo wa Yanga SC, Issoufou Boubacar akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Friends Rangers
  Paul Nonga wa Yanga SC akimlamba chenga beki wa Friends Rangers jana Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA FRIENDS RANGERS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top