• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 21, 2016

  AZAM FC ILIVYOENDELEZA UBABE KWA TIMU ZA TANGA MKWAKWANI JANA

  Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe (kulia) akiifungia timu yake bao la pili jana katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Mgambo JKT kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga
  Nahodha wa Azam FC, John Bocco akiwatoka wachezaji wa Mgambo JKT
  Beki wa Azam FC, Msenegali Racine Diouf akipiga kichwa mbele ya mchezaji mwenzake, John Bocco
  Kiungo wa Azam FC, Jean Baptiste Mugiraneza (kulia) akipambana na mchezaji wa Mgambo JKT
  Mshambuliaji wa Azam FC, Ame  Ali 'Zungu' akimzuia mchezaji wa Mgambo JKT katika kuwania mpira

  Kikosi cha Azam FC kilichoendeleza ubabe dhidi ya timu za Tanga Uwanja wa Mkwakwani jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOENDELEZA UBABE KWA TIMU ZA TANGA MKWAKWANI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top