• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 19, 2016

  KIGOGO FIFA SAMBAMBA NA MALINZI OFISI ZA TFF LEO

  Rais wa Shirikisho la Soka Asia (AFC) na Makamu wa Rais wa (FIFA), Sheikh Salman Bin Ebrahim Al Khalifa (kushoto) akiwa katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo wakati alipotembelea katika ziara yake ya siku mbili nchini tangu jana alipowasili. Wengine ni Rais wa TFF, Jamal Malinzi (katikati) na Selestine Mwesigwa (kushoto). Sheikh Khalifa pia alitembelea ofisi za Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo na kufanya mazungmzo mafupi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Elisante Ole Gabriel
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIGOGO FIFA SAMBAMBA NA MALINZI OFISI ZA TFF LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top