• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 18, 2016

  SHUJAA WA YANGA SC YONDAN ALIVYOONDOKA 'KIBABE' TAIFA JANA, HAKUCHEKA NA MTU!

  Mfungaji wa bao pekee la Yanga SC kwa penalti jana katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Kevin Patrick Yondan akiondoka uwanjani kishujaa baada ya mchezo huo uliorejesha timu yake kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo
  Yondan alifunga kwa penalti dakika chache baada ya mshambuliaji Mrundi, Amissi Tambwe kukosa penalti ya kwanza waliyopewa Yanga SC na refa Mathew Akrama wa Mwanza
  Yondan alisahau hata wajibu wake kama Nahodha kwenda kuzungumza na Azam TV, badala yake Tambwe akaenda kumuwakilisha
  Hakuonekana mwenye furaha hata wakati anapongezwa na kocha wake, Mholanzi, Hans van der Pluijm

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHUJAA WA YANGA SC YONDAN ALIVYOONDOKA 'KIBABE' TAIFA JANA, HAKUCHEKA NA MTU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top