Mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino (kushoto) akiifungia timu yake bao la kwanza kati ya mawili aliyofunga katika ushindi wa 5-4 dhidi ya Norwich City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Carrow Road. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Jordan Henderson, James Milner na Adam Lallana, wakati ya Norwich yamefungwa na Dieudonne Mbokani Bezua, Steven Naismith, Wes Hoolahan kwa penalti na Sebastien Bassong PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Legends of the North: United 1 Liverpool 3
-
Over £1.3 million was raised for the United Foundation, as 48,777 attended
an entertaining game at Old Trafford.
Dakika 26 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni