• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 30, 2016

  KELECHI IHEANACHO APIGA HAT TRICK MAN CITY YAUA 4-0 KOMBE LA FA

  MATOKEO YOTE MECHI ZA LEO KOMBE LA FA
  Liverpool 0 - 0 West Ham United
  Bolton Wanderers 1 - 2 Leeds United
  Bury 1 - 3 Hull City
  Nottingham Forest 0 - 1 Watford
  Arsenal 2 - 1 Burnley
  Aston Villa 0 - 4 Manchester City
  Shrewsbury Town 3 - 2 Sheffield Wednesday
  Portsmouth 1 - 2 Bournemouth
  West Bromwich Albion 2 - 2 Peterborough United
  Crystal Palace 1 - 0 Stoke City
  Oxford United 0 - 3 Blackburn Rovers
  Reading 4 - 0 Walsall
  Colchester United 1 - 4 Tottenham Hotspur

  Nyota wa Manchester City, Kelechi Iheanacho akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Villa Park kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA leo, Bao lingine la City limefungwa na Raheem Sterling PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KELECHI IHEANACHO APIGA HAT TRICK MAN CITY YAUA 4-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top