• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 23, 2016

  MESSI AFUNGA LA USHINDI, BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI LA LIGA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi leo dhidi ya wenyeji, Malaga Uwanja wa La Rosaleda katika mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca limefungwa na El Haddadi Mohamed Munir, wakati la Malaga limefungwa na Juan Pablo Anor PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA LA USHINDI, BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top