• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 24, 2016

  MAN CITY NA WEST HAM ZATOA SARE 2-2 MABAO YA VALENCIA NA AGUERO

  Viungo Yaya Toure (kushoto) wa Manchester City akipambana na Alex Song wa West Ham United jana Uwanja wa Upton Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Timu hizo zilitoka 2-2, mabao ya City yote yalifungwa na Sergio Aguero la kwanza kwa penalti na lingine dakika za lala salama baada kuukuta mpira kwenye boksi, wakati ya West Ham pia yote yamefungwa na Enner Valencia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY NA WEST HAM ZATOA SARE 2-2 MABAO YA VALENCIA NA AGUERO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top