• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 30, 2016

  HATIMAYE PATO ATUA CHELSEA KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU DARAJANI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Alexandre Pato akikabidhiwa jezi ya Chelsea na Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo, Michael Emenalo makao makuu ya klabu hiyo, viwanja vya mazoezi vya Cobham jana baada ya kusaini mkopo wa hadi mwisho wa msimu kutoka Corinthians ya kwao, Brazil PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HATIMAYE PATO ATUA CHELSEA KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top