• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 28, 2016

  SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa Uwanja wa Ndege wa Amsterdam, Uholanzi asubuhi ya leo kusubiri kuunganisha ndege kwenda Brussels, Ubelgiji kujiunga na klabu yake mpya, KRC Genk ya Ligi Kuu ya nchini humo. Samatta aliondoka Dar es Salaam usiku wa jana. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top