![]() |
| Kiungo wa Mtibwa Sugar, Muzamil Yassin akimtoka kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akijivuta kupiga shuti katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimiliki mpira mbele ya beki wa Mtibwa Sugar, Ally Shomary |
![]() |
| Peter Mwalyanzi wa Simba SC (kulia) akiwania mpira dhidi ya Muzamil Yassin wa Mtibwa Sugar |
![]() |
| Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shiza Kichuya akimtoka kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude |








.png)
0 comments:
Post a Comment