• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 27, 2016

  ADEBAYOR AREJEA KAZINI LIGI KUU ENGLAND, ASAINI CRSYTAL PALACE

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo, Emmanuel Adebayor akiwa ameshika jezi ya Crystal Palace baada ya kukamilisha uhamisho wake jana kwa Mkataba wa hadi mwishoni mwa msimu, ambao unaweza kuongezwa iwapo atafanya vizuri. Adebayor amekuwa nje ya Uwanja tangu mwanzoni mwa msimu baada ya kuachwa Tottenham Hotspur ingawa itaendelea kumlipa Pauni 30,000 kwa wiki badala ya 100,000 kwa sababu bado ana Mkataba nayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ADEBAYOR AREJEA KAZINI LIGI KUU ENGLAND, ASAINI CRSYTAL PALACE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top