• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 27, 2016

  OSAMA ALICHEZA MUDA MFUPI TU YANGA, LAKINI WALIMTAMBUA!

  Kiungo wa Yanga SC, Geoffrey Mangenge 'Osama' akiruka na kipa wa Kajumulo WS katika mchezo wa iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano mwaka 1999 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Kiungo huyo aliyeichezea Kenya katika Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2004 nchini Tunisia, alidumu Yanga kwa misimu miwili tu, 1999 na 2000, lakini bado anakumbukwa Jangwani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OSAMA ALICHEZA MUDA MFUPI TU YANGA, LAKINI WALIMTAMBUA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top