HUU MJADALA WA NINI HAPA MKWASA, KIM POULSEN NA PLUIJM!
Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen (kulia) akizungumza na kocha wa sasa wa timu hiyo, Charles Boniface Mkwasa (katikati) na kocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm (kushoto) jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba SC na JKT Ruvu. Simba SC ilishinda 2-0
TBS YAKUTANA NA WAHARIRI DAR
-
Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Lazaro
Msasalaga ( wa pili kushoto) akizungumza wakati wa jukwaa la wahariri wa
vyom...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 maoni:
Chapisha Maoni