Mshambuliaji Alexis Sanchez akipongezwa na wachezaji wenzake wa Arsenal, wakiwemo Alex Iwobi (kushoto) na Kieran Gibbs (kulia) baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 53 wakiichapa 2-1 Burnley katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA usiku wa leo Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal limefungwa na beki Calum Chambers dakika ya 19, wakati bao la Burnley lilifungwa na Sam Vokes dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment