• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 19, 2016

  CHEKA ANAVYOJIFUA VIKALI ZAMBIA ILI KULIPA KISASI KWA MUINGEREZA

  Bondia Mtanzania, Francis Cheka akiwa kwenye kambi ya mazoezi mjini Lusaka, Zambia ambako anajiandaa na pambano la uzito wa Middle kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF dhidi ya Muingereza, Geard Ajetovic litakalofanyika Februari 27, mwaka huu viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam
  Cheka anajifua chini ya jopo la makocha linaloongozwa na Muafrika Kusini na Mzambia kuhakikisha analipa kisasi kwa Muingereza huyo ambaye awali alimshinda mjini Manchester, England
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHEKA ANAVYOJIFUA VIKALI ZAMBIA ILI KULIPA KISASI KWA MUINGEREZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top