• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 29, 2016

  SAMATTA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 77 GENK, ATAMBULISHWA RASMI LEO

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akikabidhiwa jezi namba 77 wakati wa utambulisho wake makao makuu ya klabu ya KRC Genk mjini Genk nchini Ubelgiji baada ya kusiani Mkataba wa miaka minne na nusu kujiunga na wababe hao.
  Mbwana Samatta akiwa na mabosi wa Genk leo wakati wa kutambulishwa kwake kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari  


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 77 GENK, ATAMBULISHWA RASMI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top