• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 31, 2016

  MAYANJA ENZI ZAKE ALIKUWA 'HAKUNA KUREMBA', ANAPIGA BAO MPIRA KATI

  Kiungo wa KCC, Jackson Mayanja (kushoto) akikimbia na mpira kuurudisha kati uanze baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya SC Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uganda mwaka 1997 Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala. Mayanja kwa sasa ni kocha wa Simba SC na mbali na KCC alicheza pia SC Villa na timu ya taifa ya Uganda, The Cranes
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAYANJA ENZI ZAKE ALIKUWA 'HAKUNA KUREMBA', ANAPIGA BAO MPIRA KATI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top