Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao matatu katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Messi, Neymar na Rakitic PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment