ROONEY AWAFYONZA DAMU LIVERPOOL, MAN UNITED YAUA 1-0 ANFIELD
Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Liverpool Uwanja wa Anfield jioni ya leoPICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment