• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 27, 2016

  LIVERPOOL WATINGA FAINALI KOMBE LA LIGI, WAING'OA STOKE CITY KWA MATUTA

  Wachezaji wa Liverpool wakisherehekea ushindi wao wa penalti 6-5 dhidi ya Stoke City Uwanja wa Anfield Jumanne usiku katika mchezo wa Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup. Liverpool sasa itamenyana na mshindi kati ya Everton na Manchester City katika fainali mwezi ujao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL WATINGA FAINALI KOMBE LA LIGI, WAING'OA STOKE CITY KWA MATUTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top