• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 22, 2016

  SANCHEZ AWAPONEA CHELSEA, OZIL NAYE AJIFUA KWA PAMBANO LA JUMAPILI

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akimtoka mchezaji mpya wa timu hiyo, Mohamed Elneny aliyesajiliwa wiki iliyopita katika mazoezi ya timu hiyo jana viwanja vya Colney, London kujindaa na mchezo wa Jumapili dhidi ya Chelsea Uwanja wa Emirates. Sanchez amekuwa nje ya Uwanja tangu alipoumia kwenye mchezo dhidi ya Norwich City, Novemba mwaka jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil (kushoto) akikimbia na kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Craig Gant jana viwanja vya Colney. Ozil aliukosa mchezo wa Jumapili Arsenal ikitoa sare ya 0-0 na Stoke City kutokana na kuwa majeruhi, lakini sasa anaelekea kuimarika kuelekea mchezo ujao na Chelsea
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ AWAPONEA CHELSEA, OZIL NAYE AJIFUA KWA PAMBANO LA JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top