• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 29, 2016

  AZAM FC WALIVYOJIFUA LEO NDOLA KUJIANDAA KWA MECHI NA WAZIMBABWE KESHO

  Wachezaji wa Azam FC, Allan Wanga (kulia) na Said Mpourad (kushoto) wakifanya mazoezi asubuhi ya leo mjini Ndola, Zambia kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Mabingwa wa Zimbabwe, Chicken Inn, utakaoanza Saa 8.00 mchana
  Himid Mao (kulia) na Khamis Mcha 'Vialli' (kushoto) wakijifua leo Ndola

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOJIFUA LEO NDOLA KUJIANDAA KWA MECHI NA WAZIMBABWE KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top