Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Sporting Gijon kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema mawili na Gareth Bale moja, wakati la Gijon limefungwa na Isma Lopez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment