• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 30, 2016

  SUAREZ AIPIGIA LA USHINDI BARCA IKIILAZA 2-1 ATLETICO MADRID LA LIGA

  Mshambuliaji Luis Suarez akipiga ngumi hewani baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 38 wakiilaza 2-1 Atletico Madrid leo Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca limefungwa na Lionel Messi dakika ya 30, wakati la Atletico limefungwa na Koke dakika ya 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ AIPIGIA LA USHINDI BARCA IKIILAZA 2-1 ATLETICO MADRID LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top