Wachezaji nyota wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars waliowika kuanzia miaka ya 1980 hadi mwanzoni mwa miaka ya 1990; Kutoka kulia Hussein Marsha, Athumani China, Zamoyoni Mogella na Hamisi Gaga 'Gaga Rhino' (marehemu) wakiwa na jezi za timu ya timu ya Tanzania mwaka 1991. Wote walikuwa viungo, kasoro Mogella pekee ambaye pia aliwatangulia kuibuka kisoka, ndiye alikuwa mshambuliaji. Na wote walicheza Simba na Yanga kasoro Hussein Marsha tu alicheza Simba pekee aliyojiunga nayo kutoka Pamba FC ya Mwanza. |
0 maoni:
Chapisha Maoni