Mshambuliaji Sergio Aguero (kulia) akiifungia bao la kwanza Manchester City kwa kumtungua kipa wa Norwich, John Ruddy (katikati) katika ushindi wa 3-0 usiku wa jana Uwanja wa Carrow Road. Mabao mengine ya City yamefungwa na Kelechi Iheanacho na Kevin De Bruyne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Invincibles This Week: Two draws, but two to go...
-
Take a look at what was going on around the world and on the pitch 20 years
ago this week during our Invincibles campaign
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment