Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akiondoka na mpira usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Deportivo La Coruna kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real katika mchezo wa kwanza wa kocha mpya Zinadine Zidane, yamefungwa na Karim Benzema mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Kane is different at this World Cup
-
Former England captain Alan Shearer explains what has changed for Harry
Kane since his struggles at the 2022 World Cup in Qatar.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment